'Tumeshinda lakini sijafurahia', mmoja wa mashabiki wa Simba SC ya Tanzania, baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la ...
Uwanja wa Benjamin Mkapa leo unafungua milango kwa pambano la mwisho la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 (Kariakoo Dabi) ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga. Ni mchezo wa namba 184, ...
Klabu ya Simba imetangaza kwamba haitocheza mchezo wake dhidi ya watani wao wa jadi Yanga hii leo ikisema imesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana dhidi ya timu yao kuelekea mchezo huo. Klabu ya ...
Pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara linafunguliwa wiki hii huku Jumanne septemba 16 Wadau wa soka wanasubiri kwa hamu pambano la kukata na shoka litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.
NAIROBI – Klabu ya Simba ya nchini Tanzania, inawazia kuwasilisha kesi dhidi ya tabia za mashabiki wa klabu ya Wydad Athletic Club wakati huu wakijandaa kupambana katika mechi ya nduru ya pili katika ...
Wawakilishi wa ukanda wa Afrika mashariki kutoka nchini Tanzania kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Simba SC, wametolewa nje baada ya kushindwa na Wydad Casablanca ya Morocco kupitia mikwaju ya penalti.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果