Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika ...
Kila mwaka wanandoa wapatao 1,000 kutoka dini mbalimbali huwasiliana na kikundi cha Delhi cha usaidizi na kuomba msaada. Wapenzi Wahindu na Waislamu mara kwa mara hukitembelea kikundi cha ushauri cha ...