Wikendi huwapa watu wengi fursa adimu ya kuzima alamu, kujinyoosha kitandani, na kulala kwa saa chache za ziada. Wenye bahati ya kufanya hivyo hujaribu kufidia usingizi walioukosa siku za kazi. Lakini ...
KATIKA harakati za kila siku watu wengi wamekuwa wakitumia fedha nyingi kwenye bidhaa za urembo wakiamini ndiyo njia kuu ya ...
Watu wengi wanafikiri kuwa msongo wa mawazo ndio chanzo. Wengine wanahusisha hali na sababu mbaya za kiafya. Hata hivyo, ...
Mtu mwenye afya nzuri, anahitaji kupata usingizi wa angalau saa saba mpaka nane za kulala kila usiku ili kuwa na afya bora lakini hivi karibuni watu wengi wamekuwa wakisubuliwa na tatizo la kukosa ...
Kukosa usingizi ni tatizo la kiafya ambalo linawakumba watu wengi, wataalamu wanaeleza baadhi ya sababu zinazochangia hali hiyo, ni kuota ndoto mbaya, msongo wa mawazo na matumizi ya pombe na dawa za ...
Katika makala hii ya Afya Yako, Amina Abubakar analitazama kwa kina tatizo la kutopata usingizi na athari zake, na pia unapata ushauri wa kitaalamu wa kukuepusha na tatizo hilo, au kulishughulikia ...